About Us - School Anthem

School AnthemMungu Akubariki,Shule Yetu
Mbagala, Tunakupenda,
Tunakuheshimu, Tunakutakia Heri na Fanaka
Tele na Amani Nyingi Siku Zote X 2

KIUNGO
Uaminifu Wetu, Tunakuahidia Pia, Mbele ya Mungu
Wetu na  Nchi Yetu Tukufu Tanzania Tunakutakia Heri
na Fanaka Tele na Amani Nyingi Siku Zote .

Mtakatifu Antoni, Shule Yetu Tukufu, Tunakuahidi
Kuwa na Utii,kwa Wakubwa Zetu Wote na Wazazi
Wetu Tunamuomba Mungu Akulinde X2

KIUNGO
Uaminifu Wetu, Tunakuahidia Pia, Mbele ya Mungu
Wetu na nchi Yetu Tukufu Tanzania Tunakutakia Heri
na Fanaka Tele na Amani Nyingi Siku Zote.